Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Kama hautojali njoo tuzungumze tushirikiane katika biashara hii
China zipo brand kama boxer na bei ni kuanzia dola 400 mpaka 600.GSM boda boda awazitaki cause 6 mnths zipo hoi azifai.Waendesha pikipiki wanafuata jina la pikipiki... Ukija na jina jipya atasumbuka sana muulize gsm na pikipiki zake za gsm
Hizi brand za kichina uzionazo hapa tayari si toleo la kwanza
Ukileta zako utauza ila si kwa volume kubwa
Hizo za umeme nadhani haitaweza mishe za afrika. Mfano toyo huku ndo inabeba abiria hadi wa4 kwa maramoja, inasafirisha nafaka hadi kg 200 kwa mara moja. Yaani hizi shughuli hata boxer haitastahimili.
Huwezi kwenda nunua pikipiki let say za Haojue au Sunlg/Sanlg china wakati kuna wakala wao hapa hapa bongo. Huwa kuna mkataba kubana watu kama nyie kibiashara tunawaita "wachawi".
Ukitaka nenda katafute brand ambayo haipo bongo then njoo nayo uhangaike kuijenga ikikubalika upige biashara!.. Huwezi kwenda ua biashara ya mtu tukakuangalia tu, kuna legal obligations atahusika mzalishaji wa pikipiki.
Main Dealer ni mmoja, Sub-dealers wengi
Hao simjui kwakweli labda nenda kkoo kwa Haojue karibu na Discount center waulizie mwenzao yupo maeneo gani!. Depends kama sio wachoyo.Hivi kuna sole-distributor wa SanLG hapa Tanzania?! Ni kampuni gani?
Ndio 100% inatumia umemePikipiki za umeme unacharg kama simu,yaan huweki mafuta hata kidogo??
Kuna picha nilikuwa najaribu kuivuta, maana kuna wakinga watatu nawafahamu personally huwa wanaingiza SunLG moja kwa moja kutoka China, kungekuwa na sole distributor wasingeruhusiwa kuziingiza kwa sababu tayari ni soko la mtu. Nadhani huyo mdau afanye vizuri tu research hata kwa kuwasiliana na kiwanda chenyewe. Wachina huwa ni wagumu sana wa kujifunga na mtu/kampuni moja katika soko la nchi fulani, wao wanauza tu bidhaa kwa yeyote labda mtu/kampuni iinvest pesa nyingi sana kiwandani, kitu ambacho ni nadra kwa sababu bidhaa za moto kutoka uchina hazitabiriki kisoko. Awasiliane nao tu kiwandani watamjulisha. Au aongee na wauzaji wazoefu walioko China (akiingia alibaba atawapata) watamwelekeza tu.Hao simjui kwakweli labda nenda kkoo kwa Haojue karibu na Discount center waulizie mwenzao yupo maeneo gani!. Depends kama sio wachoyo.
Hilo linawezekana au hakuna mtu aliye willing kuwa sole distributor wa hiyo product Tz!. Trend ya mauzo ina umuhimu sana nayo!, lakini Haojue nina wafahamu watu wao na Skymark ingawa product ya pikipiki nzuri ipo India.Kuna picha nilikuwa najaribu kuivuta, maana kuna wakinga watatu nawafahamu personally huwa wanaingiza SunLG moja kwa moja kutoka China, kungekuwa na sole distributor wasingeruhusiwa kuziingiza kwa sababu tayari ni soko la mtu. Nadhani huyo mdau afanye vizuri tu research hata kwa kuwasiliana na kiwanda chenyewe. Wachina huwa ni wagumu sana wa kujifunga na mtu/kampuni moja katika soko la nchi fulani, wao wanauza tu bidhaa kwa yeyote labda mtu/kampuni iinvest pesa nyingi sana kiwandani, kitu ambacho ni nadra kwa sababu bidhaa za moto kutoka uchina hazitabiriki kisoko. Awasiliane nao tu kiwandani watamjulisha. Au aongee na wauzaji wazoefu walioko China (akiingia alibaba atawapata) watamwelekeza tu.
Naifukuzia hii lkn inaniogopesha bei ndogo sana kwakweli sjui kama zinauimara wa kuridhisha. Imagine just 200usd for 1pc. Inatembea km 80 kama sikosei ukichajiNdio 100% inatumia umeme
Benefits of an electric motorcycle - Motorbike Writer
July nnaagiza gari ya umeme
Zipo vizuri tu,kule china awatumii kabisa za petrol.wanatumia za umeme tuNaifukuzia hii lkn inaniogopesha bei ndogo sana kwakweli sjui kama zinauimara wa kuridhisha. Imagine just 200usd for 1pc. Inatembea km 80 kama sikosei ukichajiView attachment 764979
Nataka kujua kati ya SanLg, Fekon na Boxer150Waendesha pikipiki wanafuata jina la pikipiki... Ukija na jina jipya atasumbuka sana muulize gsm na pikipiki zake za gsm
Hizi brand za kichina uzionazo hapa tayari si toleo la kwanza
Ukileta zako utauza ila si kwa volume kubwa
SOMO HAPAChina zipo brand kama boxer na bei ni kuanzia dola 400 mpaka 600.GSM boda boda awazitaki cause 6 mnths zipo hoi azifai.
Kuna kipindi kuna mtu alitaka leta boda 10,000 nilimsaidia kupata kiwanda na walileta sample moja ambayo boda boda waliipenda sana so angeuza tena nyingi tu.Huyu jamaa angu Benk walimwangusha dakika za mwisho so mradi ukafa.Ushuru wake sio mbaya sana so unapata faida .inbox me ntakupa maelezo na contact za factory.
Nilipoenda China cijakuta ata model moja ya hizi pikipiki tulizonazo hapa Tanzania.China pikipiki zao 90% zinatumia Umeme.Unachaji kama simu kisha unaiendesha.