biashara ya kuanzia laki 5

Kuna baadhi ya biashara zinategemeana na mazingira ni vyema ukataja na mazingira unayoishi kama ni mjini au kijijini ili iwe rahisi kukushauri cha kufanya kufuatana na mazingira yako unayoishi. mpolemimi
 
Last edited by a moderator:
kuna baadhi ya biashara zinategemeana na mazingira ni vyema ukataja na mazingira unayoishi kama ni mjini au kijijini ili iwe rahisi kukushauri cha kufanya kufuatana na mazingira yako unayoishi. mpolemimi

nipo dar maeneo ya airpot
 
Last edited by a moderator:
Pitia ipo thread nyingi sana humu na zna mawazo mswano. Kila la heri utafika.
 
we hutaki msaada.. maana ni mvivu hata wa kuandika!

Kachongeshe kitanda nunua na godoro inayobaki nunua gunia la mchele na maharage uwapunguzie mzigo hapo nyumbani!

haaaaa haaaaaa tishaa mbayaaa kijanaaa haaa..Bonge mojaaa la ushaurii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…