biashara ya kuanzia laki 5

Ndugu fika |tandale sokoni funga Mchele, maharage na Viazi bila kusahau Nyanya, nunu na Mzani wako unaanza kuwabana kitaa mdogmdogo!
 
Nenda Kariakoo nunua nguo za ndani kisha kauze mtaani...
 
laki tano kubwa sana karbu kwenye network marketing(Angellifestyle) hutajutaa km upo tayar nipm
 
laki tano kubwa sana karbu kwenye network marketing(Angellifestyle) hutajutaa km upo tayar nipm

Mkuu mtu kaomba ushauri peupe tu kwanini jibu liwe PM??? mjibu hadharani na wengine waweze kuchangi utakapo fail au kusahau.
 
Mkuu mtu kaomba ushauri peupe tu kwanini jibu liwe PM??? mjibu hadharani na wengine waweze kuchangi utakapo fail au kusahau.

Mkuu naungana na wewe .Kuna hatari huko .anaye kuitia chemba ukubali roba.haraka ya nini we toa ushauri hapa hapa ili wote tufanye analisisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…