sheli mkuu? utafurahia maishahabari wanajamii wenzangu ,,, nngependa kupata mawazo hasa kwa waliowajasiliamali,, mm nimekuwa mchimbaji mdogo eneo moja hapa nchini nmeanza kuchimba miaka 9 ilopita ,, kwa bahati wiki ilopita nilibahatika nikapata dhahabu ambayo imeniingizia milioni 200 na kitu,,
nilikuwa nataka kuachana na kazi ya uchimbaji maana ni ngumu sana , napenda nifanye biashara ,, na ni biashara ipi naweza anza na nayo?
Hahahahahahaha nenda mererani uadisiwe watu wamegusa hadi milioni 800 ila imebaki story tuUna milioni 200 hujui kitu cha kufanya.so sad
Ni mirerani siyo mererani. Huna utakaloniambia kuhusu wanaaopolo na utafutaji wa mawe enzi zile tanzanite haina mwenyewe.Hahahahahahaha nenda mererani uadisiwe watu wamegusa hadi milioni 800 ila imebaki story tu
Hahahahaha tanzanite haijawai muacha mtu salamaNi mirerani siyo mererani. Huna utakaloniambia kuhusu wanaaopolo na utafutaji wa mawe enzi zile tanzanite haina mwenyewe.
Mkuu wekeza kwenye viwanda vidogodogo vya food processing ,mkuu utapiga hela sana ,Mimi nimefanya Sells na Marketing kwa miaka mitano aisee watu wanapiga hela sana sana ,Mtaji wako utakua na hutojutia
Hii sio lazima uwe una elimu ya pharmacy?Mkuu njoo kwenye biashara ya madawa ya binadamu. Inalipa. Msingi ni kutafuta location nzuri iliyochangamka hutajutia
mmhBiashara isiyokuwa na risk au yenye risk kidogo ni kununua kiwanja na kujenga nyumba yenye thamani ya milioni themanini afu jaribu kuiuza kwa milioni mia moja na kumi au pangisha.Kama unamiliki nyumba na mahali pa kuishi na hauna majukumu makubwa kula bata tu maisha yenyewe mafupi hizo biashara waachie wahindi na araabu.
Mimi nina mgahawa nimeufungua kwa mtaji hata milioni haifiki...kwa siku naingiza faida kuanzia elfu kumi na tano mpaka ishirini.. Hiyo laki tano kwa mwezi naipata.. bora ununue hata hiace hesabu kwa siku elfu arobaini, kwa mwezi milioni moja na laki mbili,,,ukitoa kukamatwa na traffic na service hukosi laki nane kwa mwezi!Milioni80mtaji kwa mwezi laki tano kwa mwaka milioni sita
Hiyo milioni themanini baada ya miaka mitatu ni zaidi ya milioni miamoja ishirini +milioni kumi na nane ya kodi ya miaka mitatu na risk ni ndogo.Mtoa mada amesema ana milioni mia mbili na ameomba ushauri na mimi nimetoa ushauri wangu kwa kutolea mfano milioni themanini hasa sielewi kwa nini unaonyesha dharau sijui mshahara wangu utakuwa ka wa walimu.Naomba uniambie kwa milioni themani ya kibantu kwa miaka mitatu unaweza ukazalisha shilingi ngapi kwa biashara unayolipa kodi halali na mimi nijifunze kitu.
we si ndio ulipoteza dola elfu kumi kwenye forex? unamdanganya mwenzako apoteze pesa zake?Wazo la 1: Biashara ya duka.
Tafuta miji 20 michanga inayochipukia yenye uhitaji zaidi na mahitaji ya jumla ya nyumbani kama, sabuni, mafuta, n.k fungua maduka20 yenye thamani ya Tshs million 8 kila duka. Tafuta mtalaamu wa masuala ya pesa akutengenezee mfumo wa jumla wa mauzo. Yaani bidhaa zote zinakuwa kwenye system kila inapotoka bidhaa huku inajirekodi na kuongeza kiasi cha pesa. Possibly kwa mtaji wa million 8 mauzo ya siku hayatakuwa chini ya laki 1 kwa siku. So utaingiza million 2 kwa siku na kwa mwezi mmoja itakuwa 2,000,000 x 30= 60,000,000/= hapa rudisha million 50 kununua biadhaa na kulipa wafanyakazi. Baki na 10m faida ukienda kwa mwaka mmoja utakuwa umeshajua biadhara ikoje na changamoto zake kisha kama inalipa ongeza maduka mengin 10. Ukija kufikisha maduka 100 hapa bongo pamoja na hasara za kuibiwa n.k Mengi na MO watakuwa ni rafiki zako.
Wazo no 2.
Ifukie chini million 100 kwenye kilimo cha mpunga Morogoro au nyanda za juu kusini. Ukija kuvuna hii nakuhakikishia zitakuwa 200million. Maelezo zaidi kafanye survey mwenyewe.
Wazo no 3.
Iweke Forex trade na lot size ya 0.5 position mbili tu kwa mwka utapata million zingine 200. Taarifa zaidi muone memmber anaitwa ONTARIO
Wazo namba 4.
Usiogope biashara za risk ndo zenye pesa na hakuna biashara isiyo na risk.
Nunua viwanja kwenye maeneo yanayochipukia kisha uza baada ya mwaka mmoja though faida yake si kubwa sana lakini ni biashara ambayo haina risk.
Wazo na 5.
Nikopeshe mimi million 20 tu dhamana ipo baada ya mwaka nikurudishie million ..........(sema wewe)
Kama vipi nitafute mawazo ya biashara ninayo mengi
Mkuu nipmMkuu wekeza kwenye viwanda vidogodogo vya food processing ,mkuu utapiga hela sana ,Mimi nimefanya Sells na Marketing kwa miaka mitano aisee watu wanapiga hela sana sana ,Mtaji wako utakua na hutojutia
Nunua mbunge au diwani wa cuf au chadema kisha unawauzia ccm.
Utapiga hela ndefu.
Hii ni nzuri, hata Mimi nimefanya hivyo mwasonga ni kibinti tuu naona nikifikisha miaka 35 ya kuzaliwa nitaukaribisha vizuri sana uzee wangu. Nimefanya Hivi nilikata viwanja, nikatoa vya familia yangu viwanja 15 vyenye ukubwa mbali mbali kidogo kina sqm 750. Vilivyobaki viwanja 119 nikaviingiza sokono. Namshukuru MunguBiashara pekee isio na risk ni ya kununua viwanja sehemu potential kisha unavikata na kuviuza baada ya muda flani. Hakikisha tu unanuna viwanja sehemu halali na viwe na document zote muhimu.
Hii kitu kuna jamaa yangu inampa pesa sana sema inatakiwa uwe na mtaji mkubwa ambao wewe naona unakutosha sana hata ukianza na million 30 ukaikata hukosi faida ya 10 million ndani ya miezi michache. Zunguka hata mikoani si lazima Dar tu. Miji inatanuka kwa kasi we enenda kwenye miji yote potential.
Kwanini nakwambia biashara hii haina hasara, kiwanja hakishuki thamani. Huwa kinaongezeka thamani with time hivyo sehemu uliouziwa laki 6 leo, mwakani yaweza kuwa million 2 mpaka 3 kwa mji unaokuwa haraka sana.
Eeh mkuu utazeeka vyema sanaHii ni nzuri, hata Mimi nimefanya hivyo mwasonga ni kibinti tuu naona nikifikisha miaka 35 ya kuzaliwa nitaukaribisha vizuri sana uzee wangu. Nimefanya Hivi nilikata viwanja, nikatoa vya familia yangu viwanja 15 vyenye ukubwa mbali mbali kidogo kina sqm 750. Vilivyobaki viwanja 119 nikaviingiza sokono. Namshukuru Mungu
Mkuu unaweza kutupa ABC za ufanyaji wa hii biashara.Hii ni nzuri, hata Mimi nimefanya hivyo mwasonga ni kibinti tuu naona nikifikisha miaka 35 ya kuzaliwa nitaukaribisha vizuri sana uzee wangu. Nimefanya Hivi nilikata viwanja, nikatoa vya familia yangu viwanja 15 vyenye ukubwa mbali mbali kidogo kina sqm 750. Vilivyobaki viwanja 119 nikaviingiza sokono. Namshukuru Mungu