Latoya Lassoya
Member
- Sep 8, 2018
- 84
- 67
Nilikuwa na shamba la uridhi lenye heka 79 zenye hati, nikapewa wazo la kuonana na kampuni moja (property) nikaongea nao baada ya kupata taarifa wenye maeneo makubwa watanyang'anywa, wakanishauri kukata viwanja Kwa makubaliano maalumu, kila kitu watashughulikia wao ninachotakiwa kuwapa muda wa kufanya kazi, makubaliano ni baada ya mradi tutagawana % za viwanja ambao wao watachukua 30% nami 70% . Kila kitu kinachangamoto zake mradi niliambiwa utakamilika baada ya miezi sita lakini ukakamilika baada ya Mwaka, viwanja 89 ndiyo vilivyopata prove ya kuanza kuuzwa, vilivyosalia prove yake imetoka last month.Mkuu unaweza kutupa ABC za ufanyaji wa hii biashara.
Kuanzia namna ya kupata vibali na kuendelea
Sina process yoyote niliyofanya mwenyewe kila kitu walifanya wenyewe.