Biashara ya kuanzisha Chuo cha Mafunzo ya Kompyuta

Biashara ya kuanzisha Chuo cha Mafunzo ya Kompyuta

jangoma

Member
Joined
Sep 24, 2023
Posts
64
Reaction score
216
Wadau, hivi business ya kufungua computer training institute kuwafundisha watu software mbalimbali za computer kama word excel provides point na ujuzi mwingine wa kidijitali.

Je, biashara hii kwa sasa inalipa?
 
Hapo Nina mtazamo huu,
Ikiwa uko mazingira ya mjini fundisha programming and coding,hapo utawapata wanafunzi wengi Tena kwa ada utakayojipangia.
Ikiwa uko vijijini huko tafuta eneo potential then implement your idea utaokotezaokoteza japo.
 
Inalipa.. then katika ubunifu weka course ya Matumizi ya SMARTPHONE.

Probably watu watashangaa ila uhalisia ni kwamba HATUITUMII smartphone to the maximum. Yaan watu wengi wanaishia ktk asilimia 40% ya matumizi.

Utapata hela kama unajua cha kufundisha.
 
Hapo Nina mtazamo huu,
Ikiwa uko mazingira ya mjini fundisha programming and coding,hapo utawapata wanafunzi wengi Tena kwa ada utakayojipangia.
Ikiwa uko vijijini huko tafuta eneo potential then implement your idea utaokotezaokoteza japo.
Kwa comment yako hii ni dhahili unajua mengi kuhusiana na hii biashara. Unaweza niruhusu nikucheki pm unifahamishe mawili matatu.
 
Back
Top Bottom