Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Oct 29, 2014 #21 Kitu ni kufuata na kuona banki kuu,wao wanausa sh, ngapi maana bank zote pamoja na forex beura wananuna na kuuza hela za kigeni toka benki kuu so inakuletea kujua how you will make your money
Kitu ni kufuata na kuona banki kuu,wao wanausa sh, ngapi maana bank zote pamoja na forex beura wananuna na kuuza hela za kigeni toka benki kuu so inakuletea kujua how you will make your money
Punda wa Dobi JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 591 Reaction score 237 Jan 29, 2015 #23 hiyo inaitwa money laundering.....jiandae kuliwa tiGo jela