Habari zenu wakuu, naomba mwenye ufaham fasaha juu ya ubadilishaji wa fedha za kigeni na yetu, nasikiaga watu wanafanya bishara yakubadilisha fedha kila kukicha mjini, je ni nani ambaye anajua sehem ambao unaweza pata lets say kununua dollar cheap kabisa na kwenda kuiuza kwa bei ya juu kwenye hizi bureau, nawakilisha wakuu.
Ni ivi mkuu nasikia kuna watu wanpata dollar cheap kabisa pale ''Baba wa mabank'' lets say wananunua dollar kwa 1530 wakati mtaani bureau wananunua 1550 wanauza 1600, sasa angalia kuna shs 20 hapo.Duh, mkuu umenichekesha hapo kwa red aisee
Ni ivi mkuu nasikia kuna watu wanpata dollar cheap kabisa pale ''Baba wa mabank'' lets say wananunua dollar kwa 1530 wakati mtaani bureau wananunua 1550 wanauza 1600, sasa angalia kuna shs 20 hapo.
Pia mimi naimini hivyo, cause kuna watu town ndo michezo yao daily wanazunguka na pesa na wanamake profiti believe kuna formula that u can change different currencies,na ukapata profit..kuna mtu alikuwa anafanya hiyo business,too bad he passed away,with his secrets,ukiumiza kichwa u can make something out of that......