Hance Chance Balance
Member
- Aug 17, 2020
- 10
- 8
Kwema wadau kuna jambo nimefikiria nikaona niwashirikishe wadau je kwa mikoa ya simiyu shinyanga au mwanza kuna uwezekano wa kubadilishana bidhaa vijijini kwa mikoa tajwa hapo juu.
Mfano nikaenda na dagaa nikarudi na kuku au nikaenda na sabuni na vyombo vya ndani nikarudi na mahindi.
Je barter trade Bado ipo huko vijijini kama stori za wadau zinavyosema?
Nawasilisha wadau.
Mfano nikaenda na dagaa nikarudi na kuku au nikaenda na sabuni na vyombo vya ndani nikarudi na mahindi.
Je barter trade Bado ipo huko vijijini kama stori za wadau zinavyosema?
Nawasilisha wadau.