Pool mpya..kenice 1,600,000
Used jwa hao hao kenice wanauza 1,000,000 mpaka 1,200,000 good as new
Biashara ya pooltable yenyewe kama yenyew hailipi kiihvyo,ilikua ndio biashara yangu nilivyomaliza form six.
Ukipata eneo nzuri lenye vijana wengi wacheza kamari (max loss) ndio kidogo utaona faida kwasababu game zinaisha fasta fasta kwa hyo wanacheza mizunguko mingi .ila wale wacheza looser game inakawia kuisha ndanu ya lisaa watu wanapiga game mbili tu...
Token sh 200/=
Uhakika wa game pe day zinaweza kuwa hata 40+ kwa max loss
Biashara ni nzuri siku za wkend sana,
Ukitaka kuifaidi hyo bishara zifanye ziwe 3 in one..tafuta eneo nzuri weka pooltable lako,weka sehemu ya kuonyesha mpira na kipub cha kishkaji tu,
Wacheza kamari wanakula sana safari virukuu,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Goodkuck