BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Huwa naona sana maeneo ya kilanjelanje wanapanga mawe kwenye malori..ngoja waje kutupa muongozo.Habari
Naomba kufahamu anayeijua biashara ya kuchimba mawe ya gypsum. Kwa maeneo ya kilwa au makanya. Gharama Hadi kiwandani ni kiasi gani, na faida ni kiasi gani
Nawasilisha
Hapo ni kilwa katika majimbo ya Gypsum, picture hiyo ni yangu nilipiga mwaka2019.Habari
Naomba kufahamu anayeijua biashara ya kuchimba mawe ya gypsum. Kwa maeneo ya kilwa au makanya. Gharama Hadi kiwandani ni kiasi gani, na faida ni kiasi gani
Nawasilisha
Karibu ndgu brown.Habari
Naomba kufahamu anayeijua biashara ya kuchimba mawe ya gypsum. Kwa maeneo ya kilwa au makanya. Gharama Hadi kiwandani ni kiasi gani, na faida ni kiasi gani
Nawasilisha
Hii biashara imekaaje..kwa upande wa investment na return on investment.Hapo ni kilwa katika majimbo ya Gypsum, picture hiyo ni yangu nilipiga mwaka2019.
Kama unahitaji kuwekeza kwenye gypsum karibu kwa full and complete analysis kuanzia kupata eneo Hadi kuchimba na kupeleka kiwandani kuuza.
View attachment 2189658Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta
Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.www.jamiiforums.com
Nami nangojea jibu hapa...Hii biashara imekaaje..kwa upande wa investment na return on investment.
#MaendeleoHayanaChama
Ipo vizuri Sana Ila inahitaji capital kubwa Sana maana viwanda vingi vinahitaji supplying then wakulipe. Unahitaji uwe na excavator, gari za kusafirishia mizigo Hadi viwandani, compressor kwa ajiri ya blasting drilling na pia miripuko then kazi. Return ni zuri. Kama huna leseni huwa zinakodishwa huko kwa muda na unachimba. Kwanza tafuta mtaji, Kisha tafuta eneo baada ya hapo tafuta tenda kazi inaendelea. Hayana hasara ili mradi namna ya uchimbaji uwe vizuri ili production cost iwe economic.Hii biashara imekaaje..kwa upande wa investment na return on investment.
#MaendeleoHayanaChama
Kuna mdau hapo juu amock ,amesema yeye anamiliki kitalu, sasa nafikiri hapa tujulishane gharama za kununua mzigo, na gharama za usafirishaji na viwanda vinavyonunua mzigo, na wananunua wa bei gani, ili tuangalie faida yake ipoje,Ipo vizuri Sana Ila inahitaji capital kubwa Sana maana viwanda vingi vinahitaji supplying then wakulipe. Unahitaji uwe na excavator, gari za kusafirishia mizigo Hadi viwandani, compressor kwa ajiri ya blasting drilling na pia miripuko then kazi. Return ni zuri. Kama huna leseni huwa zinakodishwa huko kwa muda na unachimba. Kwanza tafuta mtaji, Kisha tafuta eneo baada ya hapo tafuta tenda kazi inaendelea. Hayana hasara ili mradi namna ya uchimbaji uwe vizuri ili production cost iwe economic.
Viwanda vyote vinavyotengeneza cement vinatumia gypsum, viwanda vyote vya kutengeneza gypsum board wanatumwa gypsum, viwanda vyote wanavyotengeneza gypsum powder wanatumia gypsum. Mkuu issue siyo kujua Nani anatumia. Issue ni kupata tenda huko. Bei ya usafirishaji inategemea unatolea wapi. Maana same Moshi ipo, itigi singida ipo, hotel tatu na kilanjelanje kilwa pia zipo.Kuna mdau hapo juu amock ,amesema yeye anamiliki kitalu, sasa nafikiri hapa tujulishane gharama za kununua mzigo, na gharama za usafirishaji na viwanda vinavyonunua mzigo, na wananunua wa bei gani, ili tuangalie faida yake ipoje,
Hello brown ulifanikiwa kupata data za kutosha juu ya biashara ya uwekezaji ktk Gypsum? Kama bado tuwasiliane. Nina vitalu makanya, bendera mkomazi na kilwaHabari
Naomba kufahamu anayeijua biashara ya kuchimba mawe ya gypsum. Kwa maeneo ya kilwa au makanya. Gharama Hadi kiwandani ni kiasi gani, na faida ni kiasi gani
Nawasilisha
Ruby naomba tuwasiliane, nina jambo langu la gypsum hapo kilwa. Nicheki kwenye 0712363358Hapo ni kilwa katika majimbo ya Gypsum, picture hiyo ni yangu nilipiga mwaka2019.
Kama unahitaji kuwekeza kwenye gypsum karibu kwa full and complete analysis kuanzia kupata eneo Hadi kuchimba na kupeleka kiwandani kuuza.
View attachment 2189658Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta
Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.www.jamiiforums.com
Ruby naomba tuwasiliane, nina jambo langu la gypsum kilwa. Nicheki 0712363358Viwanda vyote vinavyotengeneza cement vinatumia gypsum, viwanda vyote vya kutengeneza gypsum board wanatumwa gypsum, viwanda vyote wanavyotengeneza gypsum powder wanatumia gypsum. Mkuu issue siyo kujua Nani anatumia. Issue ni kupata tenda huko. Bei ya usafirishaji inategemea unatolea wapi. Maana same Moshi ipo, itigi singida ipo, hotel tatu na kilanjelanje kilwa pia zipo.