adacadabra
Member
- Jul 31, 2013
- 98
- 35
Amani kwenu members wote wa Uzi huu, wakubwa heshma zenu,wenzangu mambo zenu na wadogo zangu marahaba, naamini sehemu ni sehemu sahihi haswaa kwa ushauri katika hili swala, mimi ni kijana miaka 26 nipo dsm katika kuangaika kwangu hapa mjini hasa baada ya kujibana sana nimefanikiwa kupata mtaji wa kama tsh million mbili hivi lakini bado sijajua hii pesa niiwekeze kwenye biashara ipi ili na mimi nihesabu faida siku moja?Please wana JF naombeni mwongozo wenu hapa kwa hiki kidogo nlichonacho, natanguliza shukrani zangu za dhati!!!