Biashara ya kufanya(IDEA)

adacadabra

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
98
Reaction score
35
Amani kwenu members wote wa Uzi huu, wakubwa heshma zenu,wenzangu mambo zenu na wadogo zangu marahaba, naamini sehemu ni sehemu sahihi haswaa kwa ushauri katika hili swala, mimi ni kijana miaka 26 nipo dsm katika kuangaika kwangu hapa mjini hasa baada ya kujibana sana nimefanikiwa kupata mtaji wa kama tsh million mbili hivi lakini bado sijajua hii pesa niiwekeze kwenye biashara ipi ili na mimi nihesabu faida siku moja?Please wana JF naombeni mwongozo wenu hapa kwa hiki kidogo nlichonacho, natanguliza shukrani zangu za dhati!!!
 
Jaribu kuongea na wafanyabiashara au wajasiliamali wa maeneo hayo upate uzoefu kutoka kwao.WARNING:Usije ukafungua biashara inayohitaji uwekezaji mkubwa kama bei kubwa ya pango,umeme,maji nk.Pia zingatia "una pesa ya ziada kwa ajili ya kodi ya nyumba?(kama umepanga),maji,umeme na chakula?.Hii itasaidia biashara yako kukua haraka na faida utaiona.
 

thanks sana aisee I ill consider it
 

me nimependa introduction yako kwa ushauri nitarudi baadae kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…