Biashara ya kufanya kwa muda mfupi

Nunua line T.pesa na M.pesa fanya mobile service! Mfuate mtu popote alipo....Hii wengi hawajagundua!
 
Anakudanganya huyo,biashara ya Pesa haitakiwi kuzunguka,risk yake ni kubwa,umfuate mtu kwake utsache Pesa na simu yako!
 
uza nguo za mitumba mkuu,,mchana zungusha,usiku mwaga hata pale ubungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…