Wadau naombeni ushauri
Nimepata wazo la kumfungulia duka la urembo mke wangu ila nataka akajifunze kufanya makeup na kusuka location ya kujifunza = Kariakoo (kama nitaambiwa location nzuri zaid itapendeza) then akishakua vizuri ndo nimfungulie duka uku mtaani(Kigamboni). je, hii biashara iko njema ?
Uzuri na changamotot zake zipoje?. Maana mshahara wa mwezi ni ngumu kuwa na maendeleo ya haraka ikiwa ndo nautegemea kwa kila kitu.