Biashara ya kufanya

Biashara ya kufanya

milangomitatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,469
Reaction score
1,166
Habari ndugu zanguni habari ya RAMADAN!! Ninataka kufanya Biashara yoyote ambayo itaniingizia kipato cha ziada najua humu kuna wazoefu wa kutosha naomba msaada wa kimawazo mawazo ya biashara ninayo ila naomba pia kupata muongozo toka kwenu asanteni
 
Hauko serious,, thread haina kichwa wala miguu, ulitakiwa uweke details za muhimu kama
-location
-budget yako
- hobby yako binafsi n.k
 
Ndo maana nikasema nitajie Biashara yoyote ambayo ni nzuri na rahisi hvyo vitu ninafahamu Mimi nahitaji tu idea za Biashara tofauti
Hauko serious,, thread haina kichwa wala miguu, ulitakiwa uweke details za muhimu kama
-location
-budget yako
- hobby yako binafsi n.k
 
Back
Top Bottom