milangomitatu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 1,469 Reaction score 1,166 May 24, 2019 #1 Habari ndugu zanguni habari ya RAMADAN!! Ninataka kufanya Biashara yoyote ambayo itaniingizia kipato cha ziada najua humu kuna wazoefu wa kutosha naomba msaada wa kimawazo mawazo ya biashara ninayo ila naomba pia kupata muongozo toka kwenu asanteni
Habari ndugu zanguni habari ya RAMADAN!! Ninataka kufanya Biashara yoyote ambayo itaniingizia kipato cha ziada najua humu kuna wazoefu wa kutosha naomba msaada wa kimawazo mawazo ya biashara ninayo ila naomba pia kupata muongozo toka kwenu asanteni
low thinking capacity JF-Expert Member Joined Jun 4, 2018 Posts 1,323 Reaction score 1,496 May 24, 2019 #2 Wewe unataka kufanya biashara gani labda kabla hujashauriwa mkuu
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 May 24, 2019 #3 Hauko serious,, thread haina kichwa wala miguu, ulitakiwa uweke details za muhimu kama -location -budget yako - hobby yako binafsi n.k
Hauko serious,, thread haina kichwa wala miguu, ulitakiwa uweke details za muhimu kama -location -budget yako - hobby yako binafsi n.k
milangomitatu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 1,469 Reaction score 1,166 May 24, 2019 Thread starter #4 Ndo maana nikasema nitajie Biashara yoyote ambayo ni nzuri na rahisi hvyo vitu ninafahamu Mimi nahitaji tu idea za Biashara tofauti Tarakwa said: Hauko serious,, thread haina kichwa wala miguu, ulitakiwa uweke details za muhimu kama -location -budget yako - hobby yako binafsi n.k Click to expand...
Ndo maana nikasema nitajie Biashara yoyote ambayo ni nzuri na rahisi hvyo vitu ninafahamu Mimi nahitaji tu idea za Biashara tofauti Tarakwa said: Hauko serious,, thread haina kichwa wala miguu, ulitakiwa uweke details za muhimu kama -location -budget yako - hobby yako binafsi n.k Click to expand...
K ki redio Member Joined May 21, 2019 Posts 19 Reaction score 12 May 24, 2019 #5 mawazo ya biashara yanategemeana na eneo ulilopo