Nataka kufanya hii biashara.
Naomba mwenye experience aniambie cost ya mashine zile za umeme za kuchanganya na kufyatua tofali za block.
Pia gharama za kutengeneza ya mabox ya mbao.
Yani naomba anipe minimum estimation na return yake inakuwaje.
Asanteni sana