Biashara ya kuhost Facebook page na YouTube channel

Biashara ya kuhost Facebook page na YouTube channel

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Wakuu Nina plan tangu mda mrefu sana wa kuhost 2d animation videos za sayansi na teknolojia. Sasa napata wasi wasi juu ya kipato kinacho lipwa na haya makampuni Facebook na YouTube. Je kitaniwezesha kusurvive na hii kazi maana nikiangalia channel Moja inayo jihusisha na hii kitu sipati picha. Sasa wakuu naombeni experience huwa mnalipwa Tshs Kwa views, impression na clicks
 
Back
Top Bottom