Biashara ya kuhost website

JAY BLACK

Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
12
Reaction score
12
Wadau nataka kuanzisha biashara itakayotoa huduma ya kudesign na kuhost websites nimeona godaddy na hostgator wana package ambazo zinakuwezesha kuhost unlimited websites ningependa kujua kama naweza kutumia package za aina hii kuhost websites za watu wengine kibiashara wadau wenye uzoefu na hii biashara website hosting,design na domain registration naombeni mchango wenu wenye maelezo ya kina...mambo yamekuwa magumu mtaani nataka kujiajiri mwenyewe....
 


tafuta wateja kwanza 0787 999 851
 
Mkuu kama unataka kuanza hii biashara kwanza tafuta ma Reseller ambao wanauza kwa prices ndogo.Mfano Bluehost ni kampuni kubwa hivyo lilikwisha tengeneza jina na prices zake pia ni kwabwa kwa sababu ya Brand yake.
Tafuta makampuni kama titanichost(https://titanichost.net) hapa unaweza anza biashara yako kwa 3.99$ tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…