Ukichunguza vizuri wengi tumeshalala na watoa huduma bila kujua, embu ona unakutana na mdada mahali (popote tu!) mnabadilisha namba mnaanza wasiliana siku ya tatu kizinga cha 30 elfu, unaona si kesi unamtumia, anafurahi mnazidi wasiliana, anajirahisisha zaidi kwako na we unaikumbuka 30 yako ukiangalia mtoto kajilegeza unampanga mnakutana ama home au hotel mnafanya yenu na bado anakuomba 20 unampa ya nauli, unatoka unaenda na mambo yako..
Ghafla ukiwa njiani unaona wadada wako njiani pembeni na vichupi vyao wanaongea na vidume bei unasonya unajisemea 'ona hawa wamekosa wanawake adi watember na malaya' apo ujajua kuwa na wew umelala na kahaba kwa shilingi 50 elfu.
Ama kweli dunia duara