Biashara ya kujiuza inavyowalipa wadada!

Nishakua close na mmoja na akawa open kwangu(japo nilikua sili mzigo) kwa kweli wanapiga ela mbaya! Na siku akikutana na mshamba kauza viazi toka kijijini anamliza ela zote! Per day anapata had lak2-3 siku hali ikiwa mbaya hakosi elf80-90!
Mbona wana maisha magumu kuliko hata muuza bagia? Inaonekana hii biashara imelaaniwa na Mungu
 
Mbona wana maisha magumu kuliko hata muuza bagia? Inaonekana hii biashara imelaaniwa na Mungu
Ni kweli ela zao huishia pasijulikana na pia baada ya kumshauri angalau aanzishe biashara alisema ela za kujiuza uwezi kufanyia biashara utakua unajitafutia balaa bure.
 
Kwa Brother Y
 
Tutajie na sisi ma ngosha wa hapa shinyanga mitaa ya japanese kona kwa juu kidogo panaitwa BAKURUTU....hivi sijui huwa ni bei gani short time na kulala...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…