Biashara ya kujiuza inavyowalipa wadada!

Data zako sio sahihi rudi field uka collect data upya bei sio sawa ziko juu sana
 
Jamaa ana experience ya kununua hadi anajua bei [emoji38][emoji38] ila katika hii biashara panahitajika REGULATORY AUTHORITY maana naona bei azieleweki eleweki.

Mwisho TRA iangalie kama chanzo kipya cha kodi EFD inawahusu[emoji38]
 
Hiyo bei ni mbele tu au "sambi sako mwenyewe" kwamba ujasiri wako tu unatwanga kotekote.

Ila kula malaya inahitaji uthubutu aisee yaani unajua kabisa Kuna njemba zimetoka kuchovya hapo.
 
Sisi huku machimboni fasta buku 5 na kulala buku 10 - 20 ila sharti umnunulie na pombe na hela ya supu asubuhi angalau buku 2.
Kama hujamnunulia pombe bei inaweza kupanda na vilevile bei inategemea na hali ya chimbo. Kama chimbo linatema fresh basi dau lazima lipande.
 
WAP
 
Hongera mkuu kwa utafit wako mzuri. Siku zote mchuma janga hula na wakwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…