biashara ya kujiuza kwa wanavyuo

umbea na tamaa ya wanawake ndo inayokusumbua
jukwaa la great thinkers ni lazima lije na 'great answers' pia.
Sasa nyie mnaongelea tamaa za wanawake sijui ni tamaa ya ngono au tamaa ya pesa lakini hamtwambii kuwa hizo ngono wanafanya na nani. Je hao wanaume wanaofanya nao ngono hawana tamaa pia?, kwani wanawaacha wake zo nyumbani. Tukubali tu zinaa ni zinaa to both sides na tuipige vite kwa kukemea pande zote au tuihaharalishe kwa kusupport pande zote pia

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…