Investor 1
Senior Member
- May 4, 2022
- 106
- 206
Habari wakuu, naomba michango yenu biashara ya kukodisha Coaster ikoje kwa wenye experience.Naomba kujua namna ya nzuri ya kuendesha Hii biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mdau pale biafra alikabidhiwa coaster safi mno mwaka juzi.hesabu alikuwa akipeleka milion 2 kwa mwezi.Habari wakuu, naomba michango yenu biashara ya kukodisha Coaster ikoje kwa wenye experience.Naomba kujua namna ya nzuri ya kuendesha Hii biashara
Hapo kwa hesabu za haraka haraka 24millions kwa mwaka. LATRA, Insurance comprehensive, TRA kiasi gani? Mambo mengine service at least baada ya km ngapi kwa Coaster na kwa Sasa Coaster inauzwa Bei gani Kama naagizaNina mdau pale biafra alikabidhiwa coaster safi mno mwaka juzi.hesabu alikuwa akipeleka milion 2 kwa mwezi.
Cheapest kabisa Milioni 55Hapo kwa hesabu za haraka haraka 24millions kwa mwaka. LATRA, Insurance comprehensive, TRA kiasi gani? Mambo mengine service at least baada ya km ngapi kwa Coaster na kwa Sasa Coaster inauzwa Bei gani Kama naagiza
Kumbe bado Huna hiyo gari? Nakushauri mkuu achana na hiyo biashara.Hapo kwa hesabu za haraka haraka 24millions kwa mwaka. LATRA, Insurance comprehensive, TRA kiasi gani? Mambo mengine service at least baada ya km ngapi kwa Coaster na kwa Sasa Coaster inauzwa Bei gani Kama naagiza
Wewe unasema ukweli mtupu na huenda ulishafanya hiyo biashara ukaona masaibu yake. Kwa kifupi biashara nyingi za Bongo adui yake mkubwa na wafanyakazi utakaowaajiri. Kuna utamaduni mbaya sana sana umeshajijenga kwenye jamii yetu kuwa ukiajiriwa ni lazima upige cha juu na ikiwezekana ufanye kazi angalau miaka miwili tu na wewe ufungue biashara yako. Watu wanachulia kuajiriwa kama step up stone ya haraka ya mtu kunufaika. Angalia biashara zote kuanzia Bar, maduka mpaka kwenye magari, ni nadra sana kukuta mfanyakazi asiyeiba. Kwa kifupi wizi kazini ulishahalalishwa kabisa. Kuhusu hiyo coaster, kama ulivyosema inatakiwa mmiliki awe dereva au pengine awe na ndugu mwaminifu sana atakayeisimamia. Najua kuna watu wengi watasema ndugu ndiye mpigaji mkubwa lakini mimi najua kuna ndugu waaminifu kabisa japo ni wachache.Kumbe bado Huna hiyo gari? Nakushauri mkuu achana na hiyo biashara.
Ukitaka kugombana na kufa presha basi inakufaa, ukipigiwa hesabu za mezani utaona ni tamu ila ukiingia ndio utaona balaa la hao madereva.
Labda kama unataka kuendesha mwenyewe au hauko busy unataka kusimamia kwa kushinda hapo kijiweni
Hela ambayo utaiona ni ya route za mikoani, hizi za hapa mjini fupi fupi atakupiga kanzu unless uwe na chawa.
Akiona uko busy sana hata za mikoa ya karibu utapigwa, gari anampa dereva mwingine yeye anajipitisha kwako utajua gari kapaki kumbe inasaga vyuma na tairi tu huko.
Kuwekeza m60 ili upambanie m18 - 20 kwa mwaka naona sio maarifa ya biashara. Hapo napo ujue gari inazeeka
Uko sahihi mkuu nimefanya biashara ya hiyo na ya daladala wakati kuna route ya Mwenge - Bagamoyo.Wewe unasema ukweli mtupu na huenda ulishafanya hiyo biashara ukaona masaibu yake. Kwa kifupi biashara nyingi za Bongo adui yake mkubwa na wafanyakazi utakaowaajiri. Kuna utamaduni mbaya sana sana umeshajijenga kwenye jamii yetu kuwa ukiajiriwa ni lazima upige cha juu na ikiwezekana ufanye kazi angalau miaka miwili tu na wewe ufungue biashara yako. Watu wanachulia kuajiriwa kama step up stone ya haraka ya mtu kunufaika. Angalia biashara zote kuanzia Bar, maduka mpaka kwenye magari, ni nadra sana kukuta mfanyakazi asiyeiba. Kwa kifupi wizi kazini ulishahalalishwa kabisa. Kuhusu hiyo coaster, kama ulivyosema inatakiwa mmiliki awe dereva au pengine awe na ndugu mwaminifu sana atakayeisimamia. Najua kuna watu wengi watasema ndugu ndiye mpigaji mkubwa lakini mimi najua kuna ndugu waaminifu kabisa japo ni wachache.
*Gari Inasaga Vyuma Na Tairi,Driver Atajipitisha Kwako Kama Gari KapakiKumbe bado Huna hiyo gari? Nakushauri mkuu achana na hiyo biashara.
Ukitaka kugombana na kufa presha basi inakufaa, ukipigiwa hesabu za mezani utaona ni tamu ila ukiingia ndio utaona balaa la hao madereva.
Labda kama unataka kuendesha mwenyewe au hauko busy unataka kusimamia kwa kushinda hapo kijiweni
Hela ambayo utaiona ni ya route za mikoani, hizi za hapa mjini fupi fupi atakupiga kanzu unless uwe na chawa.
Akiona uko busy sana hata za mikoa ya karibu utapigwa, gari anampa dereva mwingine yeye anajipitisha kwako utajua gari kapaki kumbe inasaga vyuma na tairi tu huko.
Kuwekeza m60 ili upambanie m18 - 20 kwa mwaka naona sio maarifa ya biashara. Hapo napo ujue gari inazeeka
Hii ni changamoto, vipi kuhusu matumizi ya technologia kwa ajili ya monitoring. Tupate mashauri inaweza kusaidia?Kumbe bado Huna hiyo gari? Nakushauri mkuu achana na hiyo biashara.
Ukitaka kugombana na kufa presha basi inakufaa, ukipigiwa hesabu za mezani utaona ni tamu ila ukiingia ndio utaona balaa la hao madereva.
Labda kama unataka kuendesha mwenyewe au hauko busy unataka kusimamia kwa kushinda hapo kijiweni
Hela ambayo utaiona ni ya route za mikoani, hizi za hapa mjini fupi fupi atakupiga kanzu unless uwe na chawa.
Akiona uko busy sana hata za mikoa ya karibu utapigwa, gari anampa dereva mwingine yeye anajipitisha kwako utajua gari kapaki kumbe inasaga vyuma na tairi tu huko.
Kuwekeza m60 ili upambanie m18 - 20 kwa mwaka naona sio maarifa ya biashara. Hapo napo ujue gari inazeeka
Kumbe bado Huna hiyo gari? Nakushauri mkuu achana na hiyo biashara.
Ukitaka kugombana na kufa presha basi inakufaa, ukipigiwa hesabu za mezani utaona ni tamu ila ukiingia ndio utaona balaa la hao madereva.
Labda kama unataka kuendesha mwenyewe au hauko busy unataka kusimamia kwa kushinda hapo kijiweni
Hela ambayo utaiona ni ya route za mikoani, hizi za hapa mjini fupi fupi atakupiga kanzu unless uwe na chawa.
Akiona uko busy sana hata za mikoa ya karibu utapigwa, gari anampa dereva mwingine yeye anajipitisha kwako utajua gari kapaki kumbe inasaga vyuma na tairi tu huko.
Kuwekeza m60 ili upambanie m18 - 20 kwa mwaka naona sio maarifa ya biashara. Hapo napo ujue gari inazeeka
Habari wakuu, naomba michango yenu biashara ya kukodisha Coaster ikoje kwa wenye experience.Naomba kujua namna ya nzuri ya kuendesha Hii biashara
Kam mm tu na bajaji nilizo Wai kumiliki duh. unaweZa kupata pressure mnk haipi siku mbili dereva ajakupigia simuUko sahihi mkuu nimefanya biashara ya hiyo na ya daladala wakati kuna route ya Mwenge - Bagamoyo.
Kwenye usimamizi nilikuwa vizuri na siku nyingine nilikuwa naendesha mwenyewe
Lakini nilipoanza kuwa busy ilikuwa balaa, yani ukiona simu ya dereva ni aidha amekamatwa, gari imeharibika au ni ajali. Hawezi kukupigia kukuambia malipo ya hesabu
Nilipoona yananipa presha na kuniharibu kisaikolojia kiasi kwamba kazi nyingine sifanyi vizuri, niliyauza kama kichaa kwa bei ya kutupa
Wewe unaongelea mambo mengine kabisa! Sidhani kama amesema kuna biashara isiyo na changamoto. Kitu alichosema ni kumpa jamaa angalizo la changamoto za hiyo biashara. Na amekuwa specific kabisa kuhusu changamoto iliyopo. Kwa yeyote aliyefanya biashara ya usafiri atakubali kuwa wafanyakazi wasio waaminifu ndiyo kikwazo namba moja kwenye kuendesha biashara. Wengi siyo waaminifu na hawajali. Hata ya kupiga route za mikoani bado ina changamoto sana kama hakuna ufuatiliaji wa karibu sana.Wee jamaa hakuna biashara isiyokua na changamoto pili kuna tofaut kati ya ruti ya mkoan na kukodisha
Kukodisha gari inadumu kwa muda mrefu zaid ya kulifnya daladala la mkoa
Gari ya miaka 10 pale biafra ni sawa na gari iliyopga mwaka 1 kma daladala
Nashangaa watu mnaongezea mambo ambayo hakusema. Je, amesema kuna biashara isiyo na changamoto? Nadhani amejaribu kuonyesha kuwa changamoto zinatofautina na kila changamoto ina solution zake hivyo kama hawezi kufanya mambo kadhaa ili kukabili hizo changamoto ni bora afanye kitu kingine. Hili ni angalizo zuri. BTW hata hiyo fixed deposit ina changamoto zake.Mkuu hamna biashara isiyo na changamoto,kama unaogopa changamoto Fungua fixed deposit weka pesa yako,pia hata benk zinazotoa rate kubwa siku unataka hela yako,hawana hela wanakupiga kalenda !biashara ya coaster ni nzur sanaaa,cha muhimu upate dereva mwaminifu!unakuwa umemaliza,kwanza dereva kuiba route ipo,ila sio kivile,manake anaogopa asiposema ukipishana na gar road imepakia ni msala!karibu kiongozi kwenye business