Biashara ya kukodisha magari

Barraza

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
481
Reaction score
270
Wadau kwa wenye uzoefu wa hii biashara ya kukodisha magari hususani Noah naombeni mnipe uzoefu.

Je, ni kwa namna ipi naweza kutengeneza customer base. Pia ningependa kujua profit margin yake ikoje. Na itachukua muda gani kuweza kurudisha mtaji.

Pia changamoto zilizopo kwenye hii biashara. Na mengineyo ambayo yatanisaidia kufanya maamuzi sahihi.

Natanguliza shukrani.
 
Biashara kichaa Kama unaweza achana nayo, think of any other business lakini ufanye research from the group of people who're in that line of business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…