Biashara ya Kukodisha Mbao Za Renta

Biashara ya Kukodisha Mbao Za Renta

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Wakuu mwenye uzoefu na hii biashara atupe nondo

Faida yake,mtaji na changamoto zake

Location nzuri hasa kwa jiji la Mwanza na viunga vyake.

Asanteni
 
Biashara nzuri nzuri sana mtaji angalau mbao pc 80 mbao moja 2000 kukodisha kwa siku tatu maeneo mazuri iwe sehemu ya makazi mapya
 
Back
Top Bottom