Sigara Kali JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 3,623 Reaction score 8,442 Oct 9, 2021 #1 Wakuu mwenye uzoefu na hii biashara atupe nondo Faida yake,mtaji na changamoto zake Location nzuri hasa kwa jiji la Mwanza na viunga vyake. Asanteni
Wakuu mwenye uzoefu na hii biashara atupe nondo Faida yake,mtaji na changamoto zake Location nzuri hasa kwa jiji la Mwanza na viunga vyake. Asanteni
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,133 Reaction score 12,361 May 18, 2024 #2 Mkuu hukupata mchangiaji hata mmoja, nimeshangaa.
Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 767 Reaction score 901 May 19, 2024 #3 Mjuni Lwambo said: Mkuu hukupata mchangiaji hata mmoja, nimeshangaa. Click to expand... Kama uko na idea tupe mkuu
Mjuni Lwambo said: Mkuu hukupata mchangiaji hata mmoja, nimeshangaa. Click to expand... Kama uko na idea tupe mkuu
plumber hydrogen JF-Expert Member Joined Feb 17, 2022 Posts 881 Reaction score 1,537 May 20, 2024 #4 Biashara nzuri nzuri sana mtaji angalau mbao pc 80 mbao moja 2000 kukodisha kwa siku tatu maeneo mazuri iwe sehemu ya makazi mapya
Biashara nzuri nzuri sana mtaji angalau mbao pc 80 mbao moja 2000 kukodisha kwa siku tatu maeneo mazuri iwe sehemu ya makazi mapya
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 May 20, 2024 #5 Embu tuchangie kidogo, umesema?