Mgwila junior
Senior Member
- Jul 31, 2016
- 104
- 73
Uwe na dj mzuri na vyombo vizuri tu...Wadau ni ndoto yangu kuanzisha biashara ya kukodisha muziki eneo Fulani ambako ni kijijini na Huduma za muziki zipo chini ila sherehe ni nyingi pia.
Naomba mawazo yenu kuhusu changamoto na namna ya kuanza.
asante naomba kuwasilisha
Mkuu kutaja eneo nmetaja kuwa ni kijijini au unataka jina la kijiji?Eneo Fulani ni eneo gani? unapoomba ushauri jaribu kuwa muwazi japo kwa asilimia chache