Biashara ya kukodisha Projectors

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,089
Reaction score
424
Habari wajumbe,

Nlikua nataka kufahamu zaidi kuhusu biashara ya kukodisha Projectors katika masherehe au mikutano?Ntafurahi kama nikipata ushirikiano
 
Mkuu tatizo hizi Projecta nazo ni kama ilivyo kuwa kwa Komputa enzi hizo, kwa sasa unakuta Ofisi nyingi sana zina Projecta zao wenyewe, ni wachache sana wanao tegemea za kukodi,
 
Mkuu tatizo hizi Projecta nazo ni kama ilivyo kuwa kwa Komputa enzi hizo, kwa sasa unakuta Ofisi nyingi sana zina Projecta zao wenyewe, ni wachache sana wanao tegemea za kukodi,
Chasha ulipotea sana kaka...ni kweli kabisa siku hizi ofisi nyingi na sehemu za semina..training nk wanazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…