Biashara ya kukodisha Turubai

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,089
Reaction score
424
Habarini,

Naomba ushauri kuhusiana na biashara ya kukodisha turubai, je ni size ipi ambayo inapendwa sana katika kukodishwa (4m kwa 10m au 6m kwa 10m au 8m kwa 10m)?

Material ipi ya turubai uwa inadumu, je ni pvc ikiwa na high strength polyster au pe tarps?

Nitashukuru kwa msaada wenu wataalam
 

Ngoja waje watoe muongozo
 
Wakuu naomba ushauri wenu Tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…