mrengo wa kushoto
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 100
- 185
Ndugu wadau nimeleta uzi huu ili mimi na wale wote wanao ifahamu vizuri hii fursa. Maana kila kukicha kuna sherehe kuanzia birthday mpaka harusi na mikutano.Nina maswali kadhaa;
1. Ukubwa(sq metres) za ukumbi unao beba watu 100.
2. Parking itakayo takiwa kuachwa kwa angalau ukumbi au garden itakayo beba watu angalau 100
3. Eneo gani linaweza kuwa zuri kuanzisha biashara hii,kati ya mjini au makazi ya watu: nimeuliza hili kwasababu mjini ningumu kupata eneo kubwa na lenye parking kubwa kulinganisha na maeneo ya makazi pembeni kidogo ya mji.
4. Je kati ya ukumbi wa open garden na hall upi unademand kubwa zaidi??
Note: Maswali haya ni kutoka kwa mtu mwenye ndoto ya kuwa na hii biashara ambae bado hajawa bilionea😃