JOSEPHAT_07
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 320
- 195
AsanteWasukuma walishtuka wanakamuliwa pesa zao kijinga kwa shughuli za kijamii kama Sherehe na Misiba.
Saivi Kila Nzengo Wana viti vyao na safuria za kupikia, walichobakiza ni hio Tents na mziki tu, napo hio biashara inaende kuteketea labda ije kwa Branding ya kisasa zaidi.
AsanteKuwa na connection na
Wenyeviti wa mtaa
Watendaji kata
Madiwani
Wapishi kwenye shughuli mbalimbali
Hao watakuongoza kupata tenda Cha haraka haraha
Mbona kama umeiandika kinafiki flan kiroho mbaya flan...wanakamuliwa...kwani si walikua wanaitaji huduma hio ...ukihitaji huduma unatozwa fedha unapewa huduma uliyoitaka ...Sasa ulitaka wapewe Bure? Ndio mana bongo kutoboa ni ngumu sana waliotoboa ni wanasiasa tu na watu walioko kwenye mfumo wa kisiasa ila ni wafanya biashara,,..Wasukuma walishtuka wanakamuliwa pesa zao kijinga kwa shughuli za kijamii kama Sherehe na Misiba.
Saivi Kila Nzengo Wana viti vyao na safuria za kupikia, walichobakiza ni hio Tents na mziki tu, napo hio biashara inaende kuteketea labda ije kwa Branding ya kisasa zaidi.
Umeisoma vbaya, soma sentesi ya mwisho, mtoa mada kaelewa kinachohitajika kwenye biashara hio.Mbona kama umeiandika kinafiki flan kiroho mbaya flan...wanakamuliwa...kwani si walikua wanaitaji huduma hio ...ukihitaji huduma unatozwa fedha unapewa huduma uliyoitaka ...Sasa ulitaka wapewe Bure? Ndio mana bongo kutoboa ni ngumu sana waliotoboa ni wanasiasa tu na watu walioko kwenye mfumo wa kisiasa ila ni wafanya biashara,,..