YUDITHA
Senior Member
- May 5, 2013
- 154
- 28
habari wadau? kwa wale wanaohitaji kuku wanyama wapo wakutosha naomba tuwasiliane kwa 0753359245 nip mlandiz kibaha naomba pia ushur wenu wa masoko ya dar ambap madalali hawatatumika. ninakuku wengi itapendeza kama nitapata pia kwenye mahoteli na hata super market. wasambazaji wa mitahani nawahitaji pia maeneo yote haya mlandizi to dar