Biashara ya kuku wa nyama (broilers)

batamzinga

Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
35
Reaction score
26
Kwa wenye uzoefu kwenye fani hii, naomba mnipatie makisio ya gharama za kufuga kuku wa nyama kama 500 hivi pamoja na breakdown ya Matumizi na faida. Niko tayari kulipia gharama kama kuna mtu anaeweza kunitengenezea business plan iliyokamilika
 
Kifaranga kimoja ni shs 1,200 kwa hiyo vifaranga 500 ni shs 600,000=
kuku 100 wanakula mifuko 6 ndipo uwauze,mfuko mmoja wa kg 50 ni shs 40,000=
kwa hiyo kuku 500 watakula mifuko 30 sawa na shs 1,200,000=
chanjo ya gumbolo na newcastle zote mbili zitakugarumu kama 10,000=
kwa ujumla kuna garama ndogo ndogo kama mkaa,vitamins,usafiri,umeme
KUKU 500 UPATE FAIDA ISIYOPUNGUA 500,000=
 
Nashukuru Sana Neema kwa breakdown.
Ninaweza kupata wapi mtaalam wa kinishauri hii biashara?
 
Mm nimetengeza banda tayari hivyo kuku nikiwanunua natakiwa nifanye sbb hapo niona kumkaa kwa ajili ya nn.naomba mbinu na ujanja wakufuga hawa kuku jaman.km kuna mtaalamu aniambie atakwa malipo nijuwe njisi ya kufuga
 
sorry sikuwa kwenye mtandao kwa muda nilifiwa. wataalamu wengi wanapatikana maduka yanayouza dawa za mifugo.
ila nikushauri uanze kufuga ujifunze mwishowe utakuwa mtaalamu mwenyewe, pia download magonjwa yote ya kuku na dalili
zake na jinsi ya ku watibu
 
Ndugu zangu naombeni ushauri..nilifuga broilers wakadumaa...yaani wana wiki 7 hawana hata kilo..starter nilinunua ya IGO lakini finisher nilitengeneza kufuatana na formula niliyopewa..Je kuna mtu anaformula nzuri ya finisher?
 
samahani hapo kwenye mkaa hapo..
 
Ndugu zangu naombeni ushauri..nilifuga broilers wakadumaa...yaani wana wiki 7 hawana hata kilo..starter nilinunua ya IGO lakini finisher nilitengeneza kufuatana na formula niliyopewa..Je kuna mtu anaformula nzuri ya finisher?
Hiyo formula ulipewa na nani? Na vipi sasa hivi ushafanikisha kuipata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…