bajok
Senior Member
- Jun 6, 2016
- 161
- 72
Habari wadau,
Naombeni msaada wa mawazo,
Ninafikiria kuanzisha biashara ya kuuza kuku (hai) katika mkoa wa Dar es salaam. Mfumo niliofikiria kuutumia ni wa kutengeneza banda la nyavu kwaajili ya kuwaweka kuku
1. Je, ni eneo gani linaweza kuwa sahihi kwa kufanyia biashara hii?
2. Ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia au kuyachukulia umakini wakati wa kuifanya biashara hii?
Naombeni mawazo yenu katika hili.
Natanguliza shukran [emoji120]