Nashukuru mkuu, nitazingatiaBanda la kuwauzia hao kuku liwe na nafasi nzuri kwa kuku kukaa ili kuonekana vizuri na wateja wakati wa kuchagua, vyombo vya maji na chakula kizuri waendelee kuongezeka uzito wakiwa sokoni. Zingatia hili, kuku wakipata stress uzito hushuka kwa kasi.
Ukiwa na mzani wa kupima kuku inampa mteja uhakika wa uzito wa alichonunua, machotara na broiler ni wapole kukaa kwenye mzani ishu itakuwa kwa wale kuku wa kijijini ni jeuri.
Uwe na eneo au banda nyumbani ambapo kuku wageni watafikia kabla ya kuwaingiza sokoni. Siku hzi magonjwa ya kuku ni mengi, unakuta kuku kwa ndani kaharibika organs zake hata anatisha kumla. mteja akikuta hivyo sidhani km atarudi
Vitamin's na chakula cha kunenepesha ni muhimu kundelea kutunza afya yao, usipozingatia hili jiandae kununua madawa ambayo ni garama.
Nimekupa insight za kulea kiini cha biashara yako ambayo ni kuku wenyewe.
Ndo biashara ninayofanya mwaka wa pili huu kama unaweza tafuta frem basi unaweza kuuza na broiler kwa kuweka kwenye fridge na mayai pia na vitu vingine vingine, banda tengeneza la chuma lile la mbao linawah kuozaHabari wadau,
Naombeni msaada wa mawazo,
Ninafikiria kuanzisha biashara ya kuuza kuku (hai) katika mkoa wa Dar es salaam. Mfumo niliofikiria kuutumia ni wa kutengeneza banda la nyavu kwaajili ya kuwaweka kuku
1. Je, ni eneo gani linaweza kuwa sahihi kwa kufanyia biashara hii?
2. Ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia au kuyachukulia umakini wakati wa kuifanya biashara hii?
Naombeni mawazo yenu katika hili.
Natanguliza shukran [emoji120]
Naomba namba yako mkuu au unaweza kunichek kupitia 0712936073Ndo biashara ninayofanya mwaka wa pili huu kama unaweza tafuta frem basi unaweza kuuza na broiler kwa kuweka kwenye fridge na mayai pia na vitu vingine vingine, banda tengeneza la chuma lile la mbao linawah kuoza
Tuwasiliane kk 0719233421Habari wadau,
Naombeni msaada wa mawazo,
Ninafikiria kuanzisha biashara ya kuuza kuku (hai) katika mkoa wa Dar es salaam. Mfumo niliofikiria kuutumia ni wa kutengeneza banda la nyavu kwaajili ya kuwaweka kuku
1. Je, ni eneo gani linaweza kuwa sahihi kwa kufanyia biashara hii?
2. Ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia au kuyachukulia umakini wakati wa kuifanya biashara hii?
Naombeni mawazo yenu katika hili.
Natanguliza shukran [emoji120]
Tuwasiliane kaka 0719233421Ndo biashara ninayofanya mwaka wa pili huu kama unaweza tafuta frem basi unaweza kuuza na broiler kwa kuweka kwenye fridge na mayai pia na vitu vingine vingine, banda tengeneza la chuma lile la mbao linawah kuoza