Biashara ya kulaza magari

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
habari zenu wana JF,
Kijana mwenzenu nimefikiria bishara tajwa hapo juu ili kuweza kujikwamua na hali hii ngumu ya uchumi,
Nina Kaeneo kangu ambako Nimeshindwa kukaendeleza kutokana na hali ya uchumi ilivyo ambayo imenishawishi kufanya biashara ya kulaza magari kwani mazingira yaliyopo yanashawishi pia kwa biashara hii.
Ninachoomba kutoka kwenu ni ushauri, changamoto za biashara ni zipi? na ni jinsi gani naweza kuzikabili.
Nawasilisha wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…