Ochoa Real Estate
Member
- Sep 11, 2024
- 33
- 46
Je umewahi kusikia biashara hii ya Kulenga viwanja?
Twende sawa
Habari za muda huu, natumai mzima kiafya kama sio mzima sana basi Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uwe sawa kiafya.
Je umeshawahi kusikia biashara ya kulenga viwanja/maeneo?
Je kulenga viwanja ni nini?
Kulenga ni ile hali ya kununua kitu kwa gharama nafuu zaidi ukilinganisha na uhalisia wake wa wakati huo.
Kulenga viwanja ni kununua kiwanja kwa gharama nafuu ukilinganisha ile gharama halisi ya wakati huo,hivyo unaweza ukauza kwa faida zaidi.
Je ni kwanini watu wanauza viwanja au maeneo kwa gharama nafuu?
Zipo sababu kadha wa kadha kupelekea viwanja au eneo kuuzwa kwa gharama nafuu.
Sababu kuu mbili ni:-
1-- Shida inayopaswa kutatuliwa kwa haraka...
Sababu ya kwanza ni baadhi ya ndugu zetu kuwa na shida hivyo kuamua kuuza baadhi ya mali zao ili watatue shida zao na unakuta mali zenyewe moja wapo ni kiwanja.
Na kwakuwa anakuwa na shida ya kutatua kwa haraka basi itamlazimu auze kwa gharama nafuu zaidi ili apate mteja kwa urahisi.
2--- Kuhitaji kuuza eneo kubwa kwa pamoja...
Unakuta mtu ana eneo la heka 1,2,3,4,5......
Sasa baada ya kukata viwanja vidogo vidogo labda viwanja 50 au 100 auze taratibu anaona ni bora atafute mteja mmoja ampatie pesa ya pamoja ili apate pesa ya pamoja afanye mambo yake au jambo lake,kuliko kuanza kuuza taratibu labda mwaka mzima,
labda hawezi kuwekeza pesa taratibu kwasababu huwezi kata viwanja ukauzwa kwa pamoja...
Kwahivyo anaona ni bora auze kwa pamoja ili aendelee na mambo yake...
SASA BASI UNAJUA VIPI HIKI KIWANJA AU ENEO NI LA KULENGA!?
Tutajua hili eneo ni la kulenga kwa kuangalia gharama ya mtaa kwa wakati huo na kuangalia gharama ya eneo linavyouzwa na ukubwa wake.
Mafano Eneo linalouzwa lina SQM elfu 20 (20,000 SQM) na linauzwa MILIONI 800 (TZS 800,000,000) tukigawanya hiyo pesa kwa SQM za eneo linalouzwa tunaona eneo linakuwa linauzwa kwa elfu 40 kwa SQM (TZS 40,000 per SQM) sasa tunaangalia viwanja maeneo hayo vinauzwa kwa kiasi gani cha pesa.
Mfano mtaa huo kiwanja cha SQM 1000 kinauzwa kwa MILIONI 75(75,000,000 per SQM)
Kwahivyo tunaona kiwanja hicho kinauzwa kwa Elfu 75 kwa SQM moja.
Kwahiyo eneo letu la SQM ELFU 20 tunalinunua kwa ELFU 40 kwa SQM na tunauhakika wa kuliuza kwa ELFU 75 kwa SQM kwa hivyo kwa kila SQM moja tuna uhakika wa faida ya ELFU 35.
Kwahiyo eneo ambalo tumenunua milioni 800 tuna uhakika wa kuliuza 1.5 Bilion
Kwahiyo kuna faida ya Milioni 700 ukitoa 10% ya madalali inabaki MILIONI 630 ukitoa njia na kupima viwanja na kila kitu kunakuwa na faida ambayo haipungui MILIONI 600.
Kwenye biashara hii kadri unavyowekeza ndivyo kadri unavyopata faida kubwa.
Ukinunua kiwanja cha SQM 1000 kwa ELFU 40 kwa SQM ukiuza kwa ELFU 75 kwa SQM utapata faida ya MILIONI 30+ hivii.
Kwahivyo kadri unavyowekeza ndivyo kadri utakavyopata faida...
JAMBO KUBWA LA KUZINGATIA KWENYE BIASHARA HII.
Hakikisha unafanya kazi na mtu smart na mzoefu kwenye biashara hii.
Awe na jicho la kuona wapi tukilenga tutapata faida kwa wakati gani.
Hivyo hata Boss akienda kukopa Bank Bilioni moja mnakuwa na uhakika baada ya muda fulani mtakuwa mmeweza kurejesha mkopo na kuanza kupata faida.
Hapa ni muhimu zaidi kwenda na trend ya eneo ili kuuza viwanja kwa haraka na kupata faida haraka zaidi.
Kuhakikisha unanunua eneo lisilokuwa na mgogoro.
Na mambo mengine mengi ya masingi.
Kama umependezwa na biashara hii basi tuwasiliane ili tuweze kufahamishana kwa ukaribu zaidi.
Pia kama unahitaji kuuza au kununua nyumba tuwasiliane
☎️ +255 699 255 530
Karibu sana