Biashara ya kulima mahindi ya kuchoma ni ya msimu?

GM98

Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
21
Reaction score
12
habari wakuu, naomba kuuliza wataalam, hivi biashara ya kulima mahindi ya kuchoma ni ya msimu au unaweza kulima mwaka mzima?
 
Ukifunga mfumo wa drip unalima mwaka mzima. Na pesa iko pale pale hindi moja ni 350-400 utauza.
 
Ukiwa na chanzo cha maji unalima mwaka mzima mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…