Yes I heard that and i read that gas imepanda, kufikia bei hyo kwa mtungi wa kilo 15 ambayo nilikua na nunua kwa 35000/= which i used to think bado bei ya juu but cheap ikicompare na nishati nyingine kwa matumizi yangu ya mwezi, still jana i bought unit 85 za umeme kwa 20000/= while nilikua napata 115 units enough for my self. and then nikaingia BP kujaza mafuta Petrol 10litres kwa 20000/= ambapo inanitoa nyumbani mpaka kazini kwa siku bila mizunguko mingine ( dont be surprised i leave 30km away from town centre) but i use to get at least 14litres siwezi kutaja list ndefu tusubiri nauli za daladala, na mabus kupanda. Bei za vyakula tena kupanda... na Bado utaambiwa inflation is only 8% (insisting on a single digit as usually) na uchumi uchumi unakua ukilinganisha na nchi nyingine za afrika...Tanzania is doing fine. Hapo ni miezi miwili tu tangia uchaguzi... tunaangalia trend kwa miezi mingine kumi mwaka uishe. tuendelee hvi hvi mpaka miaka mitano iishe... Bdo tena kunaswala pia linaniumiza kichwa wanasema UDINI... inamaana hii hali naipata mie tu kama mkristo...Inamaana waislam wako exempted...
inamaana kunasehemu usimamizi mbovu, na je waliokufa hko arusha, ni wakristo tu, au pia kunamwislam kama hali hii inatushika wote na inatunyanyasa wote. kwanini tusiwe pamoja kukemea hayo...Maanaake hku kuna ushabiki wakijinga sana wakati reality inaonekana na inakuaffect directly. Tusijaribu kufunga macho...
Na hizi agency kazi zake ni nini...Ewura, sumatra. mbona kila kitu wao wanapitisha tu.....
Na kupanda kwa gesi, mafuta na umeme hyo misitu yetu itapona kweli???:A S confused: