Naam ulizaNahitaji kujua kwa aliyewahi kufanya biashara kuchukua mazao kijijini huko na kuleta mjini na gharama zake pia na usafiri na kuja kuuza bei ya jumla na mazao yenyewe kama nyanya,karoti,vitunguu saum au maji n.k.
Na biashara ya nafaka kama mchele, maharage, mahindi, ulezi, mtama, ngano
Niliwahi kutoa mahindi wilaya ya urambo na kuleta hapa shinyanga! Cjui umekwama wapi labda kwa upande wa mahind?
Naam uliza
Unataka kufanya?
Au kujaribu?
Kufanya=mali mbichi
Kujaribu=nafaka
Kwanza tambua gharama za kununua hadi kusafirisha magunia tupu 1000*100=100 000. Kusafirisha kila gunia labda buku=100 000 fata mtiriliko huo mwisho ona utauza sh ngapi. .
Mkuu hiyo biashara ya mpunga, si rahisi kama hivyo, mi nimeifanya sana hapo mpanda, huko kote mnyamasi, mpimbwe nimezunguka, bora hata ya mchele hesabu yake ni rahisi kidogo, lakini mpunga siku shauri kabisa.Habar ndugu wa JF mm nimuajiliwa nahtaj msaada wenu wa mawazo kuhusu biashara hii ya mpunga nimekopa 4m katika taasisi ya fedha ili niweze kufanya biashara hii malengo yangu kununua gunia za mpunga 100 kwa bei ya elfu 40 katika bonde la mpimbwe maarufu kwa kilimo hcho.kisha kuyauza mazao mwezi okt novemba au dec ambapo soko lake huwa zur sna kwa uzoefu nilionao kwa bei ambzo hupanda nakufikia gunia 1 tsh 60-75 bei hii ilikuwepo msimu wa mwaka jana licha ya zao hli kupatikana kwa wingi msimu uliopita tofaut kbsa na msimu huu mpunga haupatkan kwa wingi.
Ombi langu kwa wadau wa jukwaa hili naomba nisaidiwe mbinu mawazo kwa wote wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara waliowahi kufanya biashara kma hii changamoto na nini cha kufanya ili niweze kufikia malengo yangu nawasilisha msaada wako unahitajika sana.
Kwa kukushauri nunua mchele na c mpunga ili pesa izunguke.Kwa gunia moja,garama ya kununua hadi kusafirisha kwa mfano kati ya mbeya na dar ni kati ya 135000 hadi 14000.Ukiuza unauza kati ya 160000 hadi 180000.Kwa kila gunia kuna faida kati ya 20,000 hadi 40,000.kwa hela yako unapata gunia 37 na unauza kwa jumla jumla ndani ya siku 3-5.Je,kwa mwezi utauza mara ngapi ?
Mkuu hiyo biashara ya mpunga, si rahisi kama hivyo, mi nimeifanya sana hapo mpanda, huko kote mnyamasi, mpimbwe nimezunguka, bora hata ya mchele hesabu yake ni rahisi kidogo, lakini mpunga siku shauri kabisa.
Mkuu hiyo biashara ya mpunga, si rahisi kama hivyo, mi nimeifanya sana hapo mpanda, huko kote mnyamasi, mpimbwe nimezunguka, bora hata ya mchele hesabu yake ni rahisi kidogo, lakini mpunga siku shauri kabisa.
Kwa hapa dsm nimeambiwa kg 1 ni sh 550 sasa kwa bei hiyo pamoja na usafiri naona km profit itakuwa finyu