Hapo umenena mkuu, kuna gharama za ajabu mfano kukodi banda na umeme, na gharama za vifurushi kwa mwezi etc.
Nimempigia hesabu 20 kwa siku kwasababu mara nyingi mpira kwa week ni weekend (siku 3), ila siku 4 nyingine unakuta hamna mechi. Kwahiyo nimeweka average ni watu 20 kwa siku. Ata kama kwa siku atapata 50 weekend jumla 150 hafu siku 4 kukawa hakuna mtu inamaana zilizobakia ni 0. Kwa average ya 20 kwa siku ni watu 140 kwa week. Ni vile vile tu.
Sema unaweza ndani ukawa unauza na soft drinks, kahawa, maji na sigara (kama imani inaruhusu).
Pia anaweza akaamua akaweka humo humo na Play Station games ili zile siku ambazo hamna mpira awe anachezesha games.
Sema itategemea na banda alivoliset.