kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Hisense 55' si inakaribia 880k ama nimekosea?TV inch 40 ndogo sana. Tafuta 55 kwenda juu. Tafuta brand affordable mfano TCL, Hisense etc.Uusinunue refab.
TV Mil 1.2 Kingamuzi Azam na DSTV jumla 500k banda kulipiga mambao mbao na mabenchi weka 300-500 itategemea. Kwahiyo approximately 2.5 ingawa unaweza enda less.
Projector achana nayo. Ngumu sana kupata mazingira mazuri ya kuonesha projector. Hizo waachie Cinemax.
Humo humo tu mkuu. Akipata ivo fresh.Hisense 55' si inakaribia 880k ama nimekosea?
Shukrani mkuuNinachowaza utumie zaidi ya Mil 2.5 hafu uweke kiingilio cha 500 tsh. Ina maana:
Kwa siku ukipata watu 20 ni elfu 10.
Kwa mwaka wenye simu 365 unapata tsh 3,500,000 hivi.
Kumbuka mpira sio kila siku, na kupata watu 20 nayo ni challenge.
Hii biashara kama bodaboda tu. Unainvest hela nyingi kwa rejesho la 10k kwa siku.
Kwa watu 20 ni idadi ya banda dogo ama?Ninachowaza utumie zaidi ya Mil 2.5 hafu uweke kiingilio cha 500 tsh. Ina maana:
Kwa siku ukipata watu 20 ni elfu 10.
Kwa mwaka wenye simu 365 unapata tsh 3,500,000 hivi.
Kumbuka mpira sio kila siku, na kupata watu 20 nayo ni challenge.
Hii biashara kama bodaboda tu. Unainvest hela nyingi kwa rejesho la 10k kwa siku.
Hapo umenena mkuu, kuna gharama za ajabu mfano kukodi banda na umeme, na gharama za vifurushi kwa mwezi etc.Kwa watu 20 ni idadi ya banda dogo ama?
Na vipi gharama za kukodi eneo au umepiga hesabu eneo ni la kwako?
Na hivi mkuu kuhusu location inatakiwa ilenge maeneo gani hasaHapo umenena mkuu, kuna gharama za ajabu mfano kukodi banda na umeme, na gharama za vifurushi kwa mwezi etc.
Nimempigia hesabu 20 kwa siku kwasababu mara nyingi mpira kwa week ni weekend (siku 3), ila siku 4 nyingine unakuta hamna mechi. Kwahiyo nimeweka average ni watu 20 kwa siku. Ata kama kwa siku atapata 50 weekend jumla 150 hafu siku 4 kukawa hakuna mtu inamaana zilizobakia ni 0. Kwa average ya 20 kwa siku ni watu 140 kwa week. Ni vile vile tu.
Sema unaweza ndani ukawa unauza na soft drinks, kahawa, maji na sigara (kama imani inaruhusu).
Pia anaweza akaamua akaweka humo humo na Play Station games ili zile siku ambazo hamna mpira awe anachezesha games.
Sema itategemea na banda alivoliset.
Hapo ni changanyikeni uswahilini flani. Ila pawe salamaNa hivi mkuu kuhusu location inatakiwa ilenge maeneo gani hasa
Usalama kwa maana ya wezi auHapo ni changanyikeni uswahilini flani. Ila pawe salama
1. Wezi kukuibia vifaa vyako.Usalama kwa maana ya wezi au
Hahaha sawa mkuu1. Wezi kukuibia vifaa vyako.
2. Kusiwe na mazingira tata maana mechi sometimes za usiku mfano EPL na UEFA unakuta chuma inaanza saa 4 usiku mtu anawaza anatoka saa 6 anakutana na vijana wa ovyo.
Kumbuka sio kila mechi utaonesha Kwa 500 ,zipo za kuonesha1000 na maranyingi big match huwa zinajaza.nishawai kupiga130k Kwa mechi moja ilikuwa man u vs psg uefaNinachowaza utumie zaidi ya Mil 2.5 hafu uweke kiingilio cha 500 tsh. Ina maana:
Kwa siku ukipata watu 20 ni elfu 10.
Kwa mwaka wenye simu 365 unapata tsh 3,500,000 hivi.
Kumbuka mpira sio kila siku, na kupata watu 20 nayo ni challenge.
Hii biashara kama bodaboda tu. Unainvest hela nyingi kwa rejesho la 10k kwa siku.
1. Wezi kukuibia vifaa vyako.Usalama kwa maana ya wezi au
Na asisahau DSTV bei za vifurushi vya visimbuzi zimechangamka + AZAM lazima ukaze butiNinachowaza utumie zaidi ya Mil 2.5 hafu uweke kiingilio cha 500 tsh. Ina maana:
Kwa siku ukipata watu 20 ni elfu 10.
Kwa mwaka wenye simu 365 unapata tsh 3,500,000 hivi.
Kumbuka mpira sio kila siku, na kupata watu 20 nayo ni challenge.
Hii biashara kama bodaboda tu. Unainvest hela nyingi kwa rejesho la 10k kwa siku.
Unajua wale waliokuwa na mabanda ya video miaka ile ya nyuma walifaidika kwa sababu siku ambazo hakuna mpira walikuwa wanaonyesha movies na vijana wengi wanakuja kuangalia ila siku hizi kila nyumba ina king'amuzi wanaangalia majumbani kwao.Hapo umenena mkuu, kuna gharama za ajabu mfano kukodi banda na umeme, na gharama za vifurushi kwa mwezi etc.