Biashara ya kupangisha Frame haina uhai mrefu sana toka sasa

Biashara ya kupangisha Frame haina uhai mrefu sana toka sasa

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Rela Estate hasa Maduka ni swala ambalo nazani linaenda linaisha na halina Feature kabisa.

Kwa sasa ni dhahiri huhitaji Frame ili ufanye biashara kitu ambacho huko nyuma hakikuwezekana kabisa.

Leo hii unazania ni Online store ngapi hapa hapa Bongo zimewapotezea wenye Frame pesa za Mapango.

Maduka Physical yanaenda yakipotea polepole na hasa mijini na wanao endelea kushusha Frame za Biashara mijini wawaze mara mbilimbili sana hasa kwa baadae.

Uwekezaji wa kwenye nyumba za kuishi huo ndo utabakia kuwepo kwa sasa na kwa baadae ila sio uwekezaji kwenye Frame.

Na hii ni pamoja na Offisi, kwa sasa Offisi ni nyumbani kwako, mty anatenga chumba kimoja kwake ndo Offisi na anapiga kazi kabisa na maisha yanaenda.

Sijui kama tunaliona hili hasa wale wazee wa Frame.

NSSF waache kabisa kuzika pesa za wanachama wao kwenye kujenga Frame na Offisi mijini make zinaweza jikuta ziko tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona USA ambapo 79% raia wananunua vitu online lakini physical shops bado zipo na zinaendelea kuongezeka?


Pia shirika la TimeTrade wamefanya na ulisema 85% ya watu hupendelea physical store kuliko online.

Lakini haitoshi, Amazon.com ambayo ni e-commerce kubwa duniani wana physical store zinazokaribia 600 huko USA
20180118_Amazon_Go_26-630x420.jpg

Hii ni picha inayoonyesha duka la amazon ambalo watu wanaenda kununua vitu, na amazon inaendelea kujenga zaidi retail stores.
 
Now kila upitapo mitandaoni watu wameweka sponsored ad, yaani wewe ni kubofya tu namba unaletewa then ndio unalipia.
Ila mimi bado nikitaka kitu nataka niende mwenyewe nikague maduka tofauti tofauti.
 
Hili la frame nilishaliona miaka mingi iliyopita, Kuna watu walijenga majumba yenye frame 20 na zaidi na zimekaa bila mpangaji kwa miaka 5 mwishowe wanaishia kupangisha mama ntilie na wengine kugeuza vyumba vya kupanga lakini kama location ni nzuri sawa. Mbeya, njombe, iringa, Arusha, geita, mwanza frame zenye watu ni chini ya 25%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi yale maghorofa pacha kule posta na lile jengo jipya yana wapangaji kweli?
Maana nina wasiwasi mkubwa kuwa huo uwekezaji si rafiki sana nyakati hizi
 
Online inakaa softcopy... Frame inakaa hardcopy bado frame soko liko palepale[emoji23][emoji23]

Akili zangu za balimi hizi...@CHASHA FARMING,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wanajenga sehemu zisizo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo point, physical address lazima iwepo , hata alibaba, Amazon , allieexpress Wana physical address, kinachokwamisha wabongo wengi ni location, unakuta mtu anajenga frem za biashara uchochoroni badala kule aweke nyumba za wapangaji ...

sehemu zenye mkusanyiko wa watu frem zinalipa Sana tuu .....
 
Back
Top Bottom