CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Rela Estate hasa Maduka ni swala ambalo nazani linaenda linaisha na halina Feature kabisa.
Kwa sasa ni dhahiri huhitaji Frame ili ufanye biashara kitu ambacho huko nyuma hakikuwezekana kabisa.
Leo hii unazania ni Online store ngapi hapa hapa Bongo zimewapotezea wenye Frame pesa za Mapango.
Maduka Physical yanaenda yakipotea polepole na hasa mijini na wanao endelea kushusha Frame za Biashara mijini wawaze mara mbilimbili sana hasa kwa baadae.
Uwekezaji wa kwenye nyumba za kuishi huo ndo utabakia kuwepo kwa sasa na kwa baadae ila sio uwekezaji kwenye Frame.
Na hii ni pamoja na Offisi, kwa sasa Offisi ni nyumbani kwako, mty anatenga chumba kimoja kwake ndo Offisi na anapiga kazi kabisa na maisha yanaenda.
Sijui kama tunaliona hili hasa wale wazee wa Frame.
NSSF waache kabisa kuzika pesa za wanachama wao kwenye kujenga Frame na Offisi mijini make zinaweza jikuta ziko tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app