Ni biashara nzuru sana hasa ukielekeza nchi za Sudan na Kenya, changamoto kubwa ni mazao mengi ya chakula kuwa related with politics, mfano mahindi na mpunga huwa nchi inapokuwa kwenye uhitaji hauruhusiwi kusafirisha nje! Kama utamua kujikita kwenye mahindi kupeleka Kenya na Sudan embu jitahidi kuprocess inorder to add value! Kuhusu organization ya kutoa kibali sijui cha muhimu jitahidi kusafisha njia kuepuka kupata vizuizi vya matrafki/polisi(umeelewa maana yake? ie kubali kuliwa ili ule) all the best!