Biashara ya Kuprint Majina kwenye Jerseys

arnolds

Senior Member
Joined
Oct 10, 2009
Posts
105
Reaction score
57
Habari za asubuhi wadau,
nahitaji msaada wenu tafadhali, kwa yeyote anayeweza kunipa information juu ya hii biashara ya kuprint majina kwenye jerseys nitashukuru sana. nafikiria kuanzisha hii kitu huku mkoani, nina baadhi ya vifaa kama heat press nk. ningependa kujua vifaa gani vingine vitahitajika na wapi naweza kuvipata. pia zile herufi na namba (especially za ligi kuu ya uingereza) naweza kuzipata wap?

asanteni sana
 
Naomba nitafute kwa number hii 0778 863696 tuwasiliane juu ya hiyo biashara
 
Hizo HEAT PRESS zinapatikana kwa bei gani na wapi wakuu,nazihitaji kweli!
 
ujifunze kutengeneza screen... hiyo ya heat press haidumu sana inafaa kwenye tshirt za shughuli kama misiba au kampeni...

Mkuu hapo huko sahihi, inategemea quality ya heat press machine, aina ya transfer paper umetumia na temperature setting. Hata official merchandise kwenye maduka ya EPL wanatumia similar process. Na inadumu kwa muda mrefu tu.
 
Mimi huwa nachapisha kwa ajili ya marafiki na ndugu tu. Natumia heat press na transfer letters na numbers nanunua kwa supplier uingereza. Kila number inanicost karibu shilingi 6000 na herufi kila moja kama shillings 1000 so nadhani hailipi kwa bingo yetu. Kwa sasa Nipo huku uingereza na ninarudi wiki ijayo kama uko serious na bei inakuwafiki ni PM nitakusaidia kukuletea.
Angalia mifano hapa mwenye hii link ya eBayhttp://m.ebay.co.uk/itm/170980282305
 
hata mm nahitaji hizo mashine zinazochapisha majina au herufi zinahitwaje na naweza kuzipata wapi wakuu nisaidieni?
 
Mkuu hapo huko sahihi, inategemea quality ya heat press machine, aina ya transfer paper umetumia na temperature setting. Hata official merchandise kwenye maduka ya EPL wanatumia similar process. Na inadumu kwa muda mrefu tu.

Ni kweli mkuu Kweli udumu ninaousemea ni mpaka nguo kuisha kama inavyokuwa kwenye screen...
 
Last edited by a moderator:
Hizo HEAT PRESS zinapatikana kwa bei gani na wapi wakuu,nazihitaji kweli!

ninaagiza heavy duty t shirt heat press from stahls.. moja ni milion moja laki moja..

na ninazo kwenye workshop yangu natumia.

used inategemea makubaliano
 
hata mm nahitaji hizo mashine zinazochapisha majina au herufi zinahitwaje na naweza kuzipata wapi wakuu nisaidieni?

zinaitwa heat press.. huwa zinaagizwa nje..

hata pale veta zinapatikana around 1.1m..

sema.dola ilivyoshuka sasa hivi.. zinaweza kuwa juu kidogo
 
ujifunze kutengeneza screen... hiyo ya heat press haidumu sana inafaa kwenye tshirt za shughuli kama misiba au kampeni...

hizi kazi.zinaendana.. hata kwenye t shirt za misiba.. lazima uchanganye screen kwenye maandishi na heat press kwenye picha
 
Nauza alphabet za back lays za jersy na number nichek 0716 164696
 
ninaagiza heavy duty t shirt heat press from stahls.. moja ni milion moja laki moja..

na ninazo kwenye workshop yangu natumia.

used inategemea makubaliano
kaka mi nataka kujua unapatikana wapi na mawasiliano yako.
 
Mhhh,
 
Nakupongeza sana kwa kutumia nafasi hiyo Mkoani
 
bei zako kubwa sana.. 6000 kwa namba ni nyingi sana.. ni 2000 kwa namba na 1000 kwa alphabet..

for more detailz nichek insta page t shirt garage mabibo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…