Biashara ya kuprint picha/canvas

Biashara ya kuprint picha/canvas

daisyvicky

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
343
Reaction score
198
Wakuu salam
Nataka kufanya hii biashara
Naomba mwenye ujuzi tushee
Printer ya aina gani inatumika
Materials
Ujuzi
Na upatikanaji wake
Natanguliza shukran
Nimeatach picha ya sample
981D6A68-2111-4865-95B5-21DE3725F211.jpeg
 
Hizo picha zimechorwa kwa mkono bila shaka
Kazi ya mkono hiyo
Hiyo ni print, zipo pia zilizochorwa na mkono kwa kutumia acrylic colors ni hizo kwa nyuma ukutani hapo...

Bongo siku hizi naona madogo wengi wanauza kazi zao kwa sana akiwemo huyo ambaye mleta uzi kaweka picha zake hapo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo imechorwa kwa mkono ikawa scaned then wakaiprint kwenye larger format printer
 
Ndiyo imechorwa kwa mkono ikawa scaned then wakaiprint kwenye larger format printer
Aliyoiweka mleta mada haijachorwa mkuu, ni printed photo...

Zipo za hivyo ulizoeleza, kwamba mtu anachora picha moja, then for mass production ana scan na kuprint...

Na pia zipo zilizokuwa painted na rangi, na hata ukiigusa unaona kabisa na ina rangi iliyogandia juu ya canvas
 
Aliyoiweka mleta mada haijachorwa mkuu, ni printed photo...

Zipo za hivyo ulizoeleza, kwamba mtu anachora picha moja, then for mass production ana scan na kuprint...

Na pia zipo zilizokuwa printent na rangi, na hata ukiigusa unaona kabisa na ina rangi iliyogandia juu ya canvas

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unataka kusema hiyo picha imepigwa?
 
Unaona kama hizi, ni za kuchorwa na acrylic paints...na ni kazi ya huyo huyo picha yake iliyotumika kwenye huu uzi

Nimezicrop ili kuficha identity, maana ukifika maskani zipo ukutani in a custom made wood frame yangu
IMG_20210506_162345_HDR.jpg
IMG_20210506_162448_HDR.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo picha zimechorwa kwa mkono bila shaka
Kazi ya mkono hiyo
Oh basi nmeweka atachment inakinzana na nachotaka,nataka za kuprint picha za softcopy kwenda kwenye real picture kama hiyo
 
Back
Top Bottom