daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
Kazi ya mkono hiyoWakuu salam
Nataka kufanya hii biashara
Naomba mwenye ujuzi tushee
Printer ya aina gani inatumika
Materials
Ujuzi
Na upatikanaji wake
Natanguliza shukran
Nimeatach picha ya sampleView attachment 1775345
Naomba details za kumpata
Nitaku PM namba zakeNaomba details za kumpata
natafuta picha za kuweka chumbani
Hiyo ni print, zipo pia zilizochorwa na mkono kwa kutumia acrylic colors ni hizo kwa nyuma ukutani hapo...Hizo picha zimechorwa kwa mkono bila shaka
Kazi ya mkono hiyo
okay
Ndiyo imechorwa kwa mkono ikawa scaned then wakaiprint kwenye larger format printerHiyo ni print, zipo pia zilizochorwa na mkono kwa kutumia acrylic colors ni hizo kwa nyuma ukutani hapo...
Bongo siku hizi naona madogo wengi wanauza kazi zao kwa sana akiwemo huyo ambaye mleta uzi kaweka picha zake hapo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyoiweka mleta mada haijachorwa mkuu, ni printed photo...Ndiyo imechorwa kwa mkono ikawa scaned then wakaiprint kwenye larger format printer
Mkuu unataka kusema hiyo picha imepigwa?Aliyoiweka mleta mada haijachorwa mkuu, ni printed photo...
Zipo za hivyo ulizoeleza, kwamba mtu anachora picha moja, then for mass production ana scan na kuprint...
Na pia zipo zilizokuwa printent na rangi, na hata ukiigusa unaona kabisa na ina rangi iliyogandia juu ya canvas
Sent using Jamii Forums mobile app
,
Hata simjui mkuu,hii picha nmetumiwa na mtu tulikua tunadiscuss hii isue
Mkuu unaweza kutuelezea zaidi?
Oh basi nmeweka atachment inakinzana na nachotaka,nataka za kuprint picha za softcopy kwenda kwenye real picture kama hiyoHizo picha zimechorwa kwa mkono bila shaka
Kazi ya mkono hiyo
Shukran kwanza nifanye hivoInaitwa plotter au ploter kama sijakosea..google utapata details.